Dakar, Senegal - 28/01/2012. Mahakama kuu nchini Senegal imetoa
uamuzi ya kuwa rais wa sasa anaweza kugombea kitu cha urais kwa mara ya
tatu kwa kufuatia sheria ya nchi inavyo sema.
uamuzi wa mahakama ulisema "Rais Abdoulaye Wade 85, ambaye ameruhusiwa
kugombea kiti cha urais, baada ya kutimiza mashrti ambayo yanatakiwa
mgombea kuyatimiza."
Kufuataia uhamuzi huo wa mahakama, maelfu ya wanchi wa Senegal
wameandamana kupinga jambao ambalo limesababisha polisi wa kuzuia ghasia
kutumia nguvu kuwatawanya waandamanaji.
Naye mwanamuziki maarufu duniani Youssou Ndour, ambaye alikuwa
anatarajiwa kugombea kiti hicho cha urais, na aliyekuwa mpinzani mkubwa
katika kupinga kitendo cha rais Wade kugombea tena kiti cha urais
amezuiliwa kugombanaia kiti hicho.
Uchaguzi wa urais nchini Senegal unatarajiwa kufanyaika Februari 36....by nuhu85
No comments:
Post a Comment