Abiria mkazi wa Rujewa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya akisoma bei ya nauli ya safari yake kabla ya kuanza safari leo mchana kama alivyokutwa na camera ya blog hii leo mjini Rujewa ,utaratibu huu unauonaje unaweza kusaidia kupunguza kero za abiria kutozwa nauli zaidi? nitumie maoni yako sasa
Saturday, 25 April 2009
Transpotation iringa
Takataka iringa
HAPA NI STENDI KUU YA WILYA YA NJOMBE PAMOJA NA WAFANYABIASHARA KUTOZWA USHURU WA KUFANYIA USAFI WA ENEO HILO BADO WILAYA IMESHINDWA KABISA KUONDOA TAKA ZILIZOHIFADHIWA KATIKA NYOMBO HIVI UNAWEZA KUJIULIZA KUWA NI HIVI NI VYOMBO VYA KUHIFADHIA TAKA AMA TAKA ZA VYOMBO ?
Tuelimike juu ya Utaifa
wengi walizani kua mhindi kunaweza kuku fanya usipewe u miss kumbe kwa wadau ikawa ndivyo sivyo.umefika wakati watanzania tukaelewa nini maaana ya utaifa sio tu Rangi iwe kikwazooo..chukua hiyo kama unataka.photo by Nuhu
Subscribe to:
Posts (Atom)