Generation Xix

TXT

TOURISM

NMB

TTCL

TTCL

Wednesday, 24 November 2010

Ufunguzi Benki ya Wanawake Tanzania

Mh rais akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa benki ya wanawake ilopo mkabala na wizara ya katiba na sheria posta ya zamani,katika moja ya masisitizo ya mh kikwete ni jitihada thabiti katika kuendeleza gurudumu la maendeleo,ubora na ufanisi wa vitengo,nuhu85

Utekelezaji wa serikali kuu

Mh rais akipokea document kwa mwakilishi bank ya wanawake tanzania hii ni katika kuwapa fursa kina mama na jitihada za kuikomboa tanzania katika janga la umaskini,nuhu85

Ajira zisizo rasmi

kwa mtazamo harisi mtoto huyu anatakiwa awepo dalasani akipambana na elimu ila hizi kazi au ajira zisizo rasmi ndio tatizo,kwani ajui kesho ataamkaje je itapita kavu au ndo atauona mchana vyema jion je?hilo ndo swali la kujiuliza, anahitajika kujikimu kimaisha ndio maana anazurura mjini nae kutafuta pesa,tuwasaidie
nuhu85