Generation Xix

TXT

TOURISM

NMB

TTCL

TTCL

Saturday, 11 February 2012

Hongera My brother chriss

Nakupongeza kaka chriss kwa kufunga pingu za maisha umepiga hatua katika hilo,pia kwako shemeji nawe hongera sana, nakuombea ubalikiwe kizazi chema na mungu akulinde katika maisha yako, nafurahia maamuzi yako pia,by ur little bro nuhu85

Mahakama ya mruhusu kugombea mara ya 3

Dakar, Senegal - 28/01/2012. Mahakama kuu nchini Senegal imetoa uamuzi ya kuwa rais wa sasa anaweza kugombea kitu cha urais kwa mara ya tatu kwa kufuatia sheria ya nchi inavyo sema.
uamuzi wa mahakama ulisema "Rais Abdoulaye Wade 85, ambaye ameruhusiwa kugombea kiti cha urais, baada ya kutimiza mashrti ambayo yanatakiwa mgombea kuyatimiza."
Kufuataia uhamuzi huo wa mahakama, maelfu ya wanchi wa Senegal wameandamana kupinga jambao ambalo limesababisha polisi wa kuzuia ghasia kutumia nguvu  kuwatawanya waandamanaji.
Naye mwanamuziki maarufu duniani Youssou Ndour, ambaye alikuwa anatarajiwa kugombea kiti hicho cha urais, na aliyekuwa mpinzani mkubwa katika kupinga kitendo cha rais Wade kugombea tena kiti cha urais amezuiliwa kugombanaia kiti hicho.
Uchaguzi wa urais nchini Senegal unatarajiwa kufanyaika Februari 36....by nuhu85

Safari ya BACD 2009 ilula-masukanzi

Wanafunzi wa mwaka wa pili BACD 2009 (Sam Mndeme, clara ndira, george machumu, Diana chilambo, bahati sefania, Nuhu changawa, neema thomas, Gerald mlambo,Moze chusi) wa kozi ya maendeleo ya jamii (community development) wakiwa katika elimu kwa vitendo pamoja na wanakijiji cha masukanzi,hii ilikua Ilula-iringa,kijiji cha masukanzi, nuhu85

Mh Deodorasi Kamala at Career day IUCo

Mh deodorasi Kamala akipata maelekezo toka kwa mwanafunzi Nuhu changawa juu ya digree ya Community development inavyoweza changia katika kupunguza umaskini na kukuza uchumi Tanzania, july 2010 at career day Tumaini university iringa college-IUCO

Tuesday, 7 February 2012

Elimu vijijini haibebeki

kwa kipindi kilefu elimu yetu imekua haibebeki haswa kwa vijijin ambako idadi kubwa ya wanao soma wapo katika mazingira duni kupitiliza huwez sema hii ndo nchi tunayosema inaendelea..50yrs tayari je tungoje 50 yrs ijayo......