Generation Xix

TXT

TOURISM

NMB

TTCL

TTCL

Saturday, 21 August 2010

England's 2018 World Cup bid

He made his name predicting Germany's 2010 World Cup results, but now Paul the Octopus is returning home to help England's bid to stage the 2018 tournament.

England's campaign came off the rails in May when former Football Association chariman David Triesman was forced to stand down after being secretly taped accusing Spain and Russia of bribing referees.
His comments put a big dent in the considerable goodwill that had been built by the addition of soccer superstar David Beckham to the campaign team in 2009.
Now Paul, who was hatched at an English aquarium in 2008, is lending his particular talents to the bid despite having retired from psychic predictions.Paul has spent the last two years of his life in Germany, but he is definitely a proud Englishman and is therefore delighted to put his support behind England 2018," Weymouth Sea Life Center manager Nicola Hamilton said on Wednesday.

Trasforming kenya one bridge at a time


More than 13 years after his parents drowned in a flash flood, David Kakuko is building a bridge that might have prevented their deaths. nuhu85

Nuclear mission in Iran

http://www.cnn.com/(CNN) -- Iran began fueling its first nuclear energy plant in the southern city of Bushehr on Saturday, the nation's state media reported.
The effort will help the country create nuclear-generated electricity, Press TV said
The transfer of nuclear fuel was being watched by the International Atomic Energy Agency and senior officials from Iran and Russia, Press TV said.
Some Western nations have questioned whether the nuclear fuel will be used solely for electricity or would Iran eventually try to enrich uranium on its own, providing material for nuclear weapons.
It will take about two months for the reactor to begin generating electricity, state media has reported. Russia's nuclear agency says it will take longer.



nuhu85

Friday, 20 August 2010

YANGA IS A NON STOP JET


FRED Mbuna ndiye mchezaji pekee ambaye amebaki katika kikosi cha Simba na Yanga ambacho kilicheza mechi ya Ngao ya Hisani mwaka 2001.
Kwa mara ya mwisho mchezo wa Ngao ya Hisani ulifanyika Februari 17, 2001 wakati Yanga ilipoifunga Simba mabao 2-1.
Mbuna ambaye aliingia kipindi cha pili wakati huo akicheza kama mshambuliaji, ndiye mchezaji pekee ambaye amebaki kutoka katika timu zote mbili kutokana na wachezaji wengine kustaafu.
Katika mchezo huo, Simba ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 43, lililofungwa na Steven Mapunda huku Yanga ikisawazisha dakika mbili tangu kuanza kwa kipindi cha pili kupitia kwa Edibily Lunyamila., Ali Yusufu 'Tigana' alifunga bao la pili kwa Yanga dakika ya 80 na kuifanya timu hiyo ya Jangwani kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.
nuhu85

Thursday, 19 August 2010

mwanasiasa apania kuwaokoa `wabwia unga’

INGAWA nimestaafu kazi miaka 16 natumia muda mwingi kutafakari juu ya changamoto zilizopo katika sekta ya afya hususani nadharia ya Florence Nightingale juu ya wito ambayo haiendani na hali halisi ya maisha ya wafanyakazi wa sekta ya afya.”

Hiyo ni kauli ya Mbunge wa zamani, Muuguzi na Msajili mstaafu wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania, Jitto Ram.
nuhu85

Mtahama makundi mpaka lini??

Nyota wa zamani wa Kundi la TMK Wanaume Halisi, Richard Shauri ‘Rich One’, ametoboa kilichowaondoka TMK Halisi kwamba ni matatizo ya uongozi wa juu.
Katika mazungumzo ya hivi karibuni, alidai kuwa sababu kubwa iliyowandoa ni ungozi wa juu wa Kundi la TMK Wanaume Halisi kuwazuia kutumia jina hilo pindi kiongozi wa kundi hilo, Juma Nature ‘Sir Nature’ anapokuwa hayupo.
“Jambo lililotufanya tujitoe TMK Halisi na kwenda kuanzisha Wanaume ni kitendo cha kuzuiwa kutumia jina la kundi Nature anapokuwa hayupo na mambo mengine,” alisema Rich One.
Jamaa anaongeza kwamba hakuna mtu aliyewafukuza isipokuwa kulikuwa na ‘mbinyo’ wa hali ya juu ndani ya kundi hilo huku baadhi ya wasanii wakipewa nafasi kubwa ya kufanya kazi na wengine kukosa nafasi hiyo hata kama uwezo wao ni mkubwa.
“Hakuna mtu aliyetufukuza bali tulichoshwa na ‘udikteta’ wa viongozi wetu kuzuia tusitumie Jina la ‘Wanaume Halisi’ bila ‘Nature’ kuwepo, hivyo tulijihisi kama hatuna thamani ndani ya kundi,” Rich aliweka wazi.

Mbio za uchaguzi 2010 msafara wa-JK


Msafara wa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete ukipita katika barabara ya Ohio na kuingia kwenye barabara ya Ghana yalipo Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajili ya kurejesha fomu Dar es Salaam jana.