Generation Xix

TXT

TOURISM

NMB

TTCL

TTCL

Sunday, 26 February 2012

Blackeberry Curve 8520 Used & New Bold 9700

For Purchase just cal me i will delivery to you anytime in dar. 0714 121285,
For bold 9700 price is 220,000

Samsung S5830 Galaxy Ace

GSM 850/900/1800/1900 MHz, UMTS 900/2100 MHz, HSDPA 7.2 Mbps, Touch screen bar phone, 112.4 x 59.9 x 11.5 mm, 113 g, 3.5" 16M-color TFT capacitive touch screen, 320 x 480 pixels, CPU: Qualcomm QCT MSM7227-1 Turbo 800 MHz processor, Memory: 158MB storage, micro SD card slot, OS: Android OS, v2.2 Froyo, Camera: 5 megapixel auto-focus camera with face detection; QVGA video recording, Connectivity: Wi-Fi b/g/n, Bluetooth 2.1 with A2DP, standard micro USB port, GPS receiver with A-GPS, 3.5mm audio jack, FM radio, Misc: Touch Wiz 3.0 UI, built-in accelerometer, multi-touch input, proximity sensor, Swipe text input.

 Tshs: 380,000/= Phone: +255 713 525 452Area: Dar Es Salaam Date Listed: Jan 27, 2012

Saturday, 18 February 2012

WIZI SIO ISHU KABISAAA!!!!!!!!!!


Jambazi sugu aliefaamika kwa jina moja la Castor akiwa anasubili matibabu baada ya kuchomwa na moto katika tukio alipokutwa akingoa mabomba ya majosho ya ngombe katika kijiji cha Ipande,wenye hasira kali hawakua nyuma juu ya mwili wake.
nuhu85

Wednesday, 15 February 2012

Funny times

 waooo kila mtu hupenda muda ambao ame enjoy vyakutosha so tu me it was jst like dis..nuhu85

Sunday, 12 February 2012

Saturday, 11 February 2012

Hongera My brother chriss

Nakupongeza kaka chriss kwa kufunga pingu za maisha umepiga hatua katika hilo,pia kwako shemeji nawe hongera sana, nakuombea ubalikiwe kizazi chema na mungu akulinde katika maisha yako, nafurahia maamuzi yako pia,by ur little bro nuhu85

Mahakama ya mruhusu kugombea mara ya 3

Dakar, Senegal - 28/01/2012. Mahakama kuu nchini Senegal imetoa uamuzi ya kuwa rais wa sasa anaweza kugombea kitu cha urais kwa mara ya tatu kwa kufuatia sheria ya nchi inavyo sema.
uamuzi wa mahakama ulisema "Rais Abdoulaye Wade 85, ambaye ameruhusiwa kugombea kiti cha urais, baada ya kutimiza mashrti ambayo yanatakiwa mgombea kuyatimiza."
Kufuataia uhamuzi huo wa mahakama, maelfu ya wanchi wa Senegal wameandamana kupinga jambao ambalo limesababisha polisi wa kuzuia ghasia kutumia nguvu  kuwatawanya waandamanaji.
Naye mwanamuziki maarufu duniani Youssou Ndour, ambaye alikuwa anatarajiwa kugombea kiti hicho cha urais, na aliyekuwa mpinzani mkubwa katika kupinga kitendo cha rais Wade kugombea tena kiti cha urais amezuiliwa kugombanaia kiti hicho.
Uchaguzi wa urais nchini Senegal unatarajiwa kufanyaika Februari 36....by nuhu85

Safari ya BACD 2009 ilula-masukanzi

Wanafunzi wa mwaka wa pili BACD 2009 (Sam Mndeme, clara ndira, george machumu, Diana chilambo, bahati sefania, Nuhu changawa, neema thomas, Gerald mlambo,Moze chusi) wa kozi ya maendeleo ya jamii (community development) wakiwa katika elimu kwa vitendo pamoja na wanakijiji cha masukanzi,hii ilikua Ilula-iringa,kijiji cha masukanzi, nuhu85

Mh Deodorasi Kamala at Career day IUCo

Mh deodorasi Kamala akipata maelekezo toka kwa mwanafunzi Nuhu changawa juu ya digree ya Community development inavyoweza changia katika kupunguza umaskini na kukuza uchumi Tanzania, july 2010 at career day Tumaini university iringa college-IUCO

Tuesday, 7 February 2012

Elimu vijijini haibebeki

kwa kipindi kilefu elimu yetu imekua haibebeki haswa kwa vijijin ambako idadi kubwa ya wanao soma wapo katika mazingira duni kupitiliza huwez sema hii ndo nchi tunayosema inaendelea..50yrs tayari je tungoje 50 yrs ijayo......

Wednesday, 24 November 2010

Ufunguzi Benki ya Wanawake Tanzania

Mh rais akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa benki ya wanawake ilopo mkabala na wizara ya katiba na sheria posta ya zamani,katika moja ya masisitizo ya mh kikwete ni jitihada thabiti katika kuendeleza gurudumu la maendeleo,ubora na ufanisi wa vitengo,nuhu85

Utekelezaji wa serikali kuu

Mh rais akipokea document kwa mwakilishi bank ya wanawake tanzania hii ni katika kuwapa fursa kina mama na jitihada za kuikomboa tanzania katika janga la umaskini,nuhu85

Ajira zisizo rasmi

kwa mtazamo harisi mtoto huyu anatakiwa awepo dalasani akipambana na elimu ila hizi kazi au ajira zisizo rasmi ndio tatizo,kwani ajui kesho ataamkaje je itapita kavu au ndo atauona mchana vyema jion je?hilo ndo swali la kujiuliza, anahitajika kujikimu kimaisha ndio maana anazurura mjini nae kutafuta pesa,tuwasaidie
nuhu85

Thursday, 18 November 2010

Mgao wa bati kwa kina mama KWAT

Jitihada KWAT katika kuona maendeleo yanapata kipaumbele mbele ya wananchi msaada wa bati ili kufanikisha ujenzi wa nyumba za utoaji huduma,nuhu85

Bidhaa na mtazamo wa Miundo mbinu vijijini



nanasi mchuuzi dar


Harakati zinazo wekwa zitazame pia vijijini,tukitaka kutazama kwa umakini vijijini ndiko harakati za uzalishaji zinako anzia ila uwezo wa miundo mbinu ni mdogo sana tija iwekwe ili wawezeshwe na kujenga mazingira kwa usafilishaji bidhaa na huduma za kiafya pia,.nuhu85

Tuesday, 26 October 2010

EMIMA NA JITIHADA ZA MICHEZO

Emima wameweka jitihada katika kuendeleza michezo kwa kiwango kikubwa sana ingawa wadau hawa wanaihitaji kuwepa nguvu  kwa kiwango kikubwa...by nuhu

HIP HOP-BONGO FLEVA IMEPOTEZA MVUTO

Kwa hakika bongo fleva ya leo sio ya miaka kumi ilopita imeshuka kwa kiwango kikubwa sana wadau wanavyosema...sas swali nini kifanyike......By Nuhu

Tuesday, 14 September 2010

Raha ya bunge


NDIO maaaana utatat unakuepo ktk kugombea jamni Red chair sio mchezoooooo.unaweza mkata mtu ulimi by nuhu

Adha ya mvua dar

tabu ya Dar kipindi cha mvua ndo utajua eneo unaloishi ni bora au magumash tu

Hatali kama hii ni kila mwaka..so ulezwe lipi uelewe??

ila binadam wabish maka bas we huyu mwenyenyumba akisombwa utailaumu serikali jamani haiitaj fedha za kigeni kutambua...kama upo katika hatariiii..by Nuhu