Saturday, 11 February 2012
Hongera My brother chriss
Nakupongeza kaka chriss kwa kufunga pingu za maisha umepiga hatua katika hilo,pia kwako shemeji nawe hongera sana, nakuombea ubalikiwe kizazi chema na mungu akulinde katika maisha yako, nafurahia maamuzi yako pia,by ur little bro nuhu85
Mahakama ya mruhusu kugombea mara ya 3
Dakar, Senegal - 28/01/2012. Mahakama kuu nchini Senegal imetoa
uamuzi ya kuwa rais wa sasa anaweza kugombea kitu cha urais kwa mara ya
tatu kwa kufuatia sheria ya nchi inavyo sema.
uamuzi wa mahakama ulisema "Rais Abdoulaye Wade 85, ambaye ameruhusiwa kugombea kiti cha urais, baada ya kutimiza mashrti ambayo yanatakiwa mgombea kuyatimiza."
Kufuataia uhamuzi huo wa mahakama, maelfu ya wanchi wa Senegal wameandamana kupinga jambao ambalo limesababisha polisi wa kuzuia ghasia kutumia nguvu kuwatawanya waandamanaji.
Naye mwanamuziki maarufu duniani Youssou Ndour, ambaye alikuwa anatarajiwa kugombea kiti hicho cha urais, na aliyekuwa mpinzani mkubwa katika kupinga kitendo cha rais Wade kugombea tena kiti cha urais amezuiliwa kugombanaia kiti hicho.
Uchaguzi wa urais nchini Senegal unatarajiwa kufanyaika Februari 36....by nuhu85

Safari ya BACD 2009 ilula-masukanzi
Wanafunzi wa mwaka wa pili BACD 2009 (Sam Mndeme, clara ndira, george machumu, Diana chilambo, bahati sefania, Nuhu changawa, neema thomas, Gerald mlambo,Moze chusi) wa kozi ya maendeleo ya jamii (community development) wakiwa katika elimu kwa vitendo pamoja na wanakijiji cha masukanzi,hii ilikua Ilula-iringa,kijiji cha masukanzi, nuhu85
Mh Deodorasi Kamala at Career day IUCo
Mh deodorasi Kamala akipata maelekezo toka kwa mwanafunzi Nuhu changawa juu ya digree ya Community development inavyoweza changia katika kupunguza umaskini na kukuza uchumi Tanzania, july 2010 at career day Tumaini university iringa college-IUCO
Tuesday, 7 February 2012
Elimu vijijini haibebeki
kwa kipindi kilefu elimu yetu imekua haibebeki haswa kwa vijijin ambako idadi kubwa ya wanao soma wapo katika mazingira duni kupitiliza huwez sema hii ndo nchi tunayosema inaendelea..50yrs tayari je tungoje 50 yrs ijayo......
Wednesday, 24 November 2010
Ufunguzi Benki ya Wanawake Tanzania
Mh rais akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa benki ya wanawake ilopo mkabala na wizara ya katiba na sheria posta ya zamani,katika moja ya masisitizo ya mh kikwete ni jitihada thabiti katika kuendeleza gurudumu la maendeleo,ubora na ufanisi wa vitengo,nuhu85
Utekelezaji wa serikali kuu
Mh rais akipokea document kwa mwakilishi bank ya wanawake tanzania hii ni katika kuwapa fursa kina mama na jitihada za kuikomboa tanzania katika janga la umaskini,nuhu85
Ajira zisizo rasmi
kwa mtazamo harisi mtoto huyu anatakiwa awepo dalasani akipambana na elimu ila hizi kazi au ajira zisizo rasmi ndio tatizo,kwani ajui kesho ataamkaje je itapita kavu au ndo atauona mchana vyema jion je?hilo ndo swali la kujiuliza, anahitajika kujikimu kimaisha ndio maana anazurura mjini nae kutafuta pesa,tuwasaidie
nuhu85
nuhu85
Thursday, 18 November 2010
Mgao wa bati kwa kina mama KWAT
Jitihada KWAT katika kuona maendeleo yanapata kipaumbele mbele ya wananchi msaada wa bati ili kufanikisha ujenzi wa nyumba za utoaji huduma,nuhu85
Bidhaa na mtazamo wa Miundo mbinu vijijini
Tuesday, 26 October 2010
EMIMA NA JITIHADA ZA MICHEZO
Emima wameweka jitihada katika kuendeleza michezo kwa kiwango kikubwa sana ingawa wadau hawa wanaihitaji kuwepa nguvu kwa kiwango kikubwa...by nuhu
HIP HOP-BONGO FLEVA IMEPOTEZA MVUTO
Kwa hakika bongo fleva ya leo sio ya miaka kumi ilopita imeshuka kwa kiwango kikubwa sana wadau wanavyosema...sas swali nini kifanyike......By Nuhu
Tuesday, 14 September 2010
Raha ya bunge

NDIO maaaana utatat unakuepo ktk kugombea jamni Red chair sio mchezoooooo.unaweza mkata mtu ulimi by nuhu
Hatali kama hii ni kila mwaka..so ulezwe lipi uelewe??
ila binadam wabish maka bas we huyu mwenyenyumba akisombwa utailaumu serikali jamani haiitaj fedha za kigeni kutambua...kama upo katika hatariiii..by Nuhu
Saturday, 21 August 2010
England's 2018 World Cup bid
He made his name predicting Germany's 2010 World Cup results, but now Paul the Octopus is returning home to help England's bid to stage the 2018 tournament.
England's campaign came off the rails in May when former Football Association chariman David Triesman was forced to stand down after being secretly taped accusing Spain and Russia of bribing referees.
His comments put a big dent in the considerable goodwill that had been built by the addition of soccer superstar David Beckham to the campaign team in 2009.
Now Paul, who was hatched at an English aquarium in 2008, is lending his particular talents to the bid despite having retired from psychic predictions.Paul has spent the last two years of his life in Germany, but he is definitely a proud Englishman and is therefore delighted to put his support behind England 2018," Weymouth Sea Life Center manager Nicola Hamilton said on Wednesday.

Trasforming kenya one bridge at a time
More than 13 years after his parents drowned in a flash flood, David Kakuko is building a bridge that might have prevented their deaths. nuhu85
Nuclear mission in Iran
http://www.cnn.com/(CNN) -- Iran began fueling its first nuclear energy plant in the southern city of Bushehr on Saturday, the nation's state media reported.
The effort will help the country create nuclear-generated electricity, Press TV said
The transfer of nuclear fuel was being watched by the International Atomic Energy Agency and senior officials from Iran and Russia, Press TV said.
Some Western nations have questioned whether the nuclear fuel will be used solely for electricity or would Iran eventually try to enrich uranium on its own, providing material for nuclear weapons.
It will take about two months for the reactor to begin generating electricity, state media has reported. Russia's nuclear agency says it will take longer.

Friday, 20 August 2010
YANGA IS A NON STOP JET
FRED Mbuna ndiye mchezaji pekee ambaye amebaki katika kikosi cha Simba na Yanga ambacho kilicheza mechi ya Ngao ya Hisani mwaka 2001.
Kwa mara ya mwisho mchezo wa Ngao ya Hisani ulifanyika Februari 17, 2001 wakati Yanga ilipoifunga Simba mabao 2-1.
Mbuna ambaye aliingia kipindi cha pili wakati huo akicheza kama mshambuliaji, ndiye mchezaji pekee ambaye amebaki kutoka katika timu zote mbili kutokana na wachezaji wengine kustaafu.
Katika mchezo huo, Simba ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 43, lililofungwa na Steven Mapunda huku Yanga ikisawazisha dakika mbili tangu kuanza kwa kipindi cha pili kupitia kwa Edibily Lunyamila., Ali Yusufu 'Tigana' alifunga bao la pili kwa Yanga dakika ya 80 na kuifanya timu hiyo ya Jangwani kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.
nuhu85
Thursday, 19 August 2010
mwanasiasa apania kuwaokoa `wabwia unga’
INGAWA nimestaafu kazi miaka 16 natumia muda mwingi kutafakari juu ya changamoto zilizopo katika sekta ya afya hususani nadharia ya Florence Nightingale juu ya wito ambayo haiendani na hali halisi ya maisha ya wafanyakazi wa sekta ya afya.”
Hiyo ni kauli ya Mbunge wa zamani, Muuguzi na Msajili mstaafu wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania, Jitto Ram.
nuhu85
Hiyo ni kauli ya Mbunge wa zamani, Muuguzi na Msajili mstaafu wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania, Jitto Ram.
nuhu85
Subscribe to:
Posts (Atom)