Viongozi wengi wamesema pendekezo hilo lililotolewa na kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi litaongeza matatizo zaidi ya urasimu ambayo bara la Afrika hayahitaji.
Lakini hata hivyo waliafikiana kubadilisha jina na Kamisheni ya AU na kuwa Mamlaka ya AU.
Kanali Gaddafi alitumia hutuba yake ya kwanza akiwa mwenyekiti mpya wa Muungano wa Afrika, kuchagiza pendekezo lake hilo ambalo amekuwa akilitaja kwa muda mrefu.
Kiongozi huyo wa Libya alisema muungano wa karibu zaidi wa mataifa ya Afrika unahitajika kuanza haraka.
Mapendekezo yake ameianisha Afrika iwe na jeshi moja, sarafu ya aina moja na hati ya kusafiria moja itakayowawezesha Waafrika kusafiri kwa uhuru zaidi katika bara hilo.
Lakini viongozi wengine wa mataifa ya Afrika wamesema mipango hiyo ya kiongozi huyo wa Libya haiwezekani kufanyika.

No comments:
Post a Comment